Fahamu Vyakula Ambavyo Mama Hapaswi Kula Wakati Wa Ujauzito

Neno la Mungu linathibitisha kuwa watoto ni Baraka kutoka kwa Mungu. Mwanzo 1:28.

“Mungu akawabarikia,  Mungu akawaambia,  Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha, mkatawale samaki wa baharini na ndege wa angani na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya Nchi”


Kwahiyo ili mtoto azaliwe akiwa na afya njema pamoja na akili angavu ni lazima apate lishe bora akiwa tumboni mwa mama yake.

Vyakula Bora Kwa Ufupi

1. Vyakula vya nafaka na wanga –kwa ajili ya ukuaji wa mtoto.

2. Samaki na nyama-kujenga mwili wa mtoto hasa katika miezi ya 4-9.

3. Vyakula vya mafuta – kwa ujengaji wa seli za mwili.

4. Mbogamboga-kuimarisha mwili na akili ya mtoto.

5. Maji- husaidia mmen’genyo na unyonyaji wa chakula, huzuia choo kigumu, mwili kuvimba na UTI. 

Makande Lishe

Ni chakula chenye mchanganyiko wanafaka zisizopungua saba pamoja na viungo mbali mbali. Mchanganyiko wake ni kama ifuatavyo: -

NAFAKA.

1.     Njugu mawe

2.     Maharage

3.     Karanga

4.     Ngano isiyokobolewa

5.     Kunde

6.     Mbaazi

7.     Dengu

8.     Ufuta na mtama

VIUNGO

1.     Karoti

2.     Boga

3.     Vitunguu maji

4.     Vitunguu saumu

5.     Pilipili hoho

FAIDA ZA MAKANDE LISHE

       i.            Chakula cha ubongo

     ii.            Huleta kumbukumbu nzuri

  iii.            Ni lishe nzuri kwa watoto na wazee

  iv.            Ni chakula cha ngozi, huzuia na kutibu magonjwa ya ngozi

     v.            Huimarisha via vya uzazi

 

Zingatia: Ukifuata kanuni na utaratibu huu, hutajifungua kwa oparesheni. Utakuwa mama mwenye afya, na utajifungua mtoto mwenye uzito mzuri na mwenye afya bora.

Kwa ushauri na huduma zingine, tutumie ujumbe au wasiliana nasi kwa namba hizi: 0768 559 670/ 0712 181 626.

Arusha-Mbauda,

Karibuni sana. 

Comments

Popular posts from this blog

Fahamu Mambo Yanayosababisha Uke Kulegea

Aina 9 Ya Vyakula Unavyopaswa Kuviepuka Unapokuwa Na Tatizo La Figo

Mambo 6 Yanayopelekea Mwanamke Kuhisi Maumivu Makali Anaposhiriki Tendo La Ndoa