Jinsi Ya Kuondoa Mawe Kwenye Figo Kwa Haraka Zaidi.
Ikiwa unatafuta jinsi ya kuondoa mawe kwenye figo kwa
haraka, basi kwa kawaida, fuata makala hii kwa makini ili upata kile unachohitaji.
Kabla ya kufanya hivyo, acha tuangalie jambo fulani kwa ufupi kuhusu figo.
Mawe kwenye figo, kwa kawaida huwa na kalsiamu, na pia yanaweza kusababishwa na chumvi nyingi katika lishe au chakula ambayo huchochea uzarishaji au utengenezaji wa kalsiamu kwenye mkojo. Aina nyingine ya kuzarisha mawe kwenye figo ni asidi ya kwenye mkojo, vyakula vya viwandani ambavyo unanunua madukani na kuvitumia, ni kama matokeo ya lishe au vyakula vyenye wingi wa protini.
Mawe ya figo huunda kitu kigumu ambacho hukua wakati kemikali na madini kwenye mkojo huwa magumu na kugeuka kuwa kama jiwe. Mara tu mtu anapopatwa na tatizo la mawe kwenye figo, anapaswa kuyaondoa haraka kabisa bila kuchelea. Tatizo la ugonjwa wa mawe kwenye figo unaweza kumfanyta mtui kuhangaika sana kupata tiba na kuwa na amani, lakini tiba asili kutoka James Herbal Clinic zitakusaidia kutatua tatizo hili kwa haraka mno.
Je, Dalili Zake Zinakuwaje?
Wakati mawe ya figo yanapokuwa na ukubwa mdogo, hususani
mm 4, huweza kupita kwa urahisi, lakini yanapoongezeka ukubwa, husababisha
maumivu makubwa na kupelekea kuziba kwa njia ya mkojo. Baadhi ya dalili
nitakazoonyesha hapo chini humfanya mgonjwa kujitambua kuwa ana tatizo la mawe
kwenye figo, nazo ni kama hizi zifuatazo:
- mkojo kuzuiwa
- maumivu kwenye mirija ya figo
- kutokwa na usaha wakati unapokojoa
- kuhisi kichefuchefu, kutapika au kujihisi kuchoka
- kushindwa kutoa mkojo
- kuhisi hali kama ya moto fulani wakati unapokojoa
- maumivu huongezeka sana wakati unapotembea
- kuhisi homa
- maumivu ya mara kwa mara maeneo ya tumbo la chini.
Zaidi ya hayo, unahitaji kuepuka vitu vyote vinavyopunguza maji mwilini mwako, ikiwa ni pamoja na chumvi, chai, vyakula na vinywaji ambavyo vina sukari yam awe, kahawa, vinywaji vya kaboni, na pombe.
Je, Suluhisho Lake Ni Nini?
James Herbal Clinic tumeakuandalia dawa nzuri kabisa
ya asili yenye uwezo mkubwa wa kuondoa mawe kwenye figo kwa muda mfupi tu, nayo ni NEOTONIC na FRESH HERB.
Makala yetu inaishia hapa, sasa nikaribishe kipindi cha maswali na maoni yako msomaji. Pia unaweza kutuma namba yako moja kwa moja ya WhatsAp tukakuunganisha na darasa letu la masomo ya afya.
Je, Unahitaji huduma? Basi, wasiliana nasi kwa namba hizi: 0768 559 670 au 0712 181 616,
Arusha-Mbauda,
Karibu sana.!
Comments
Post a Comment