Fahamu Juisi Nzuri Inayosaidia Kutibu Kiungulia

Ili kuondoa na kuzuia kiungulia, basi kunywa mara nyingi nusu bilauli ya juisi ya kuzuia kiungulia kuliko kunywa bilauri kubwa mara moja tu!

                                   Zima Moto Huu

Wale wanaosumbuliwa na kiungulia hukielezea kama hisia kuwaka moto kwenye shimo la tumbo ambalo wakati fulani hupanda na kuja mpaka kwenye koo. Kwa kitaalamu hujulikana kama “gastro-esophageal reflux ux”, na mara nyingi hali hii husababishwa na ngili aina ya hiatal kwenye koromeo.

Juisi ya ZIMA MOTO hubadirisha asidi ya ziada tumboni, pamoja na hayo husaidai kufunga msudwara(phincter) au vali inayotenganisha kongomeo na tumbo na kuzuia juisi ya tumbo isiweze kupanda. Kwa kifupi hii ni dawa mbadala nzuri inayosaidia kutibu tatizo la kiungulia.

Juisi ya Zima Moto imaweza kutumiwa mara kwa mara muda wowote kwa siku pale kiungulia unapokihisi. Unashauriwa kufanya hivyo mara kwa mara, mara 3-6 kwa siku nzima.

VIUNGO

  • Kwa Mlo Sita Ya Milimita 250
  • Karoti 5 za wastani(karibu gram 6i kila moja)
  • Boga 1 la wastani(karibia gram 196)
  • Kiazi mbatata 1 kidogo(karibia gram 170)
  • Kikombe 1 cha juisi ya komamanga(karibia milimita 249)

 

MAANDALIZI


  1. Changanya karoti, boga na juisi ya kiazi mbatata kwenye blenda
  2. Ongeza juisi ya komamanga kwenye juisi ya mboga za majani na uichanganye ili kuisaga

MATUMIZI: Kunywa nusu bilauri ya juisi hiyo mara 3-6 kwa siku.

Sasa unaweza kusema kwaheri kiungulia katika maisha yako yote.

Fanya hivyo nyumbani mwako mwenyewe huna sababu ya kuenda kutafuta dawa kwa matabibu. Mungu ameshakupatia chakula ambacho ndio dawa kwako.

Neno La Faraja: BWANA ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu. Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, kando ya majani ya utulivu huniongoza…Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, sitaogopa mabaya,  kwa maana Wewe upo pamoja name, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji Zaburi 23:1-4.

Mungu akubariki sana rafiki msomaji, nikaribishe kipindi cha maswali na maoni kutoka kwako.

Ikiwa kama unasumbuliwa na magonjwa makubwa kama vile ya uzazi, saratani, presha, nk, basi wasiliana nasi kwa namba hizi: 0768 559 670/0712 181 626,

Arusha-Mbauda,

Karibu sana!


Comments

Popular posts from this blog

Aina 9 Ya Vyakula Unavyopaswa Kuviepuka Unapokuwa Na Tatizo La Figo

Fahamu Mambo Yanayosababisha Uke Kulegea

Mambo 6 Yanayopelekea Mwanamke Kuhisi Maumivu Makali Anaposhiriki Tendo La Ndoa