Fahamu Kinywaji Kizuri Kwa Ajili Ya Kuondoa Matatizo Ya Macho
Kuzorota Kwa Ajili Ya Seli Za Retina
Kumbuka kwamba, antioksidanti, vitamini, karetonoidi
na zinki zinazuia kuzorota kwa seli za retina na kuboresha uwezo wa kuona
mbali.
Fanya Uwe Na Macho Kama Ya Tai
Upekee wa uwezo wa kuona wa tai unamfanya kupambanua wanyama wadogo kutoka katika umbali wa zaidi kilomita moja. Macho ya binadamu hayafikii uwezo wa kuona kama wa tai; hata hivyo yanaweza kuwa katika hali njema hadi utu uzima kwa kutumia lishe zinazotupatia vitamin zenye antioksidanti (A, C na E), zinki na karotenoidi.
Kinywaji hiki kitamu huboresha uwezo wa kuona na huzuia kuzorota kwa seli za retina, ambacho ndio kisababishi kikubwa cha kutokuona kwa wazee.
Karotenoidi Na Zinki
Embe, spinachi, na machungwa ni miongoni mwa vilivyosheheni karotenoidi, vyenye rangi za machungwa, njano, nyekundu au kijani. Ni muhimu sana kwa utendaji wa retina.
VIUNGO
Kwa Milo Mitatu Ya Milimita 250
- Embe 1 (kiasi cha gram 336 kila moja)
- Kikombe 1 cha spinachi(kiasi cha gram 30)
- Kijiko cha chakula kimoja cha ujiuji wa ufuta(kiasi cha gram 15)
- Kikombe 1 ½ cha juisi ya machungwa (kiasi cha milimita 248 kwa glasi)
MAANDALIZI
- Weka spinachi, ujiuji wa ufuta na juisi ya machungwa katika mashine ya kusagia matunda(blenda). Changanya hadi kipatikane kimiminika laini.
- Kisha ongeza embe lililoondolewa maganda, likatekate, na endelea kusaga hadi mchanganyiko uwe laini kabisa.
- Huhitaji kuongeza sukari.
MATUMIZI: Unaweza kutumia glasi 1 au 2 kila siku.
Sasa unaweza ukasema, kwaheri kabisa miwani ya macho!
Rafiki msomaji, magonjwa kama haya yanaondolewa kwa kutumia vyakula vyako nyumbani mwako. Huhitaji kutafuta tiba kwa tabibu. Kumbuka kuwa uko na Tabibu Mkuu Mungu wetu sote ambaye atakusimamia na atakupa uponyaji na shinda itatoweka kabisa.
Neno La Faraja: Msifadhaike mioyoni mwenu; mnamwamini Mungu, niaminini na mimi. Amani nawaachieni, amani yangu nawapa, niwapavyo mimi, sivyo kama ulimwengu utoavyo. Msifadhaike mioyoni mwenu, wala msiwe na woga. Yohana 14:1, 27.
Rafiki, makala yetu inaishia hapa, nikaribishe kipindi cha maswali kwako na maoni yako.
Je, Unahitaji Huduma Zaidi Kwa Magonjwa Makubwa?
Tupigie kwa namba hizi: 0768 559 670/0712 181 626,
Arusha-Mbauda,
Karibu Sana!
Comments
Post a Comment