Fahamu Mchanganyiko Mzuri Wa Juisi Kwa Ajili Ya Kuondoa Saratani Ya Utumbo MKubwa.

Ugonjwa wa saratni unaonekana kuenea zaidi hasa katika nchi zilizoendelea, lakini bado inaweza kudhibitiwa na kuondolewa na baadhi ya vyakula.

 


                                Mfahamu Mlinzi Wa Utumbo Wako

Hatari ya kupata saratani ya utumbo mkubwa inaonekana kushuka pale panapokuwa na ulaji mkubwa wa matufaa(apples). Hii inaweza kuwa imesababishwa na uwepo wa polyphenols na pectin (aina ya ufumwele unaomung’unyika) ambavyo ni viambata viwili vya tufaa vinavyopambana na saratani. Viini vyote hivyo vinavyotoa ulinzi dhidi ya saratani vilivyoko kwenye juisi ya asili ya tufaa, iliyo na muonekano wa ukungu badala ya muonekano angavu wa ile inayouzwa kwenye pakiti.

Spinachi ni moja ya vyakula ambavyo vina wingi wa luteini, karotenoidi, navyo hutoa ulinzi dhidi ya saratani ya utumbo mkubwa.

Brokoli, licha ya kuthibitishwa kuwa na matokeo mazuri chanya kwenye ulinzi wa saratani ya matiti, pia bado inao ulinzi mkubwa dhidi ya saratani ya utumbo mkubwa.

Viambata vitatu hivi vinavyotoa ulinzi makini dhidi ya saratani ya utumbo mkubwa: Tufaa, spinachi, na brokoli, vinaweza kuunganika na pumba za oti(zenye wingi wa ufumwele unaomung’unyika) ili kutengeneza kinywaji chenye ladha murua na chenye virutubisho vya ulinzi wa utumbo mkubwa.

 Kinga Dhidi Ya Saratani

Popote pale palipo na hatari ya kupata saratani ya utumbo mkubwa, ambayo ni saratani iliyoenea sana ulimwenguni hasa katika nchi zilizoendelea pia na hata katika baadhi ya nchi za bara la Afrika baada ya saratani ya matiti na saratani ya tezi dume, jifunze kuandaa tiba hii na hakikisha unatumia glasi 1 siku kwa ajili ya kudhibiti ugonjwa huu. Hili ni pendeekzo letu.

VIAMBATA

 

Kwa Kila Milimita 250 Zilizohudumia

  •  Tufaa 2 za wastani (takribani gram 182 kila moja)
  • Vikombe 2 vya spinachi (kama gram 30 kila moja)
  • Brokoli 1(takribani gram 100)
  • Pumba za shayiri vijiko 2 vya mezani(takribani gram 6 kila moja), pia unaweza kutumia pumba za ngano kama mbadala

MAANDALIZI

  1.  Andaa tufaa, spinachi na brokoli zako na uziweke kwenye blenda ili kusaga juisi yako
  2. Ongeza pumba za oti au ngano kwenye juisi yako na kasha itikise mpaka imung’unyike.
  3. Sio lazima sana kuiongezea juisi ladha ya utamu.

Kwa kutumia njia hii, utaona maajabu Mungu atakayokufanyia na unaweza kusema kwamba, kwaheri saratani ya utumbo.

Neno La Faraja: Mabaya hayatakupata wewe wala tauni haitakaribia hema yako. Zaburi 91:10.

Rafiki msomaji, makala yetu inaishia hapa nikaribishe kipindi cha maswali kutoka kwako.

Unahitaji msaada zaidi pia unaweza kuwasiliana nasi kwa namba hizi: 0768 559 670/0712 181 626,

Arusha-Mbauda,

Karibu sana!

 

Comments

Popular posts from this blog

Aina 9 Ya Vyakula Unavyopaswa Kuviepuka Unapokuwa Na Tatizo La Figo

Fahamu Mambo Yanayosababisha Uke Kulegea

Mambo 6 Yanayopelekea Mwanamke Kuhisi Maumivu Makali Anaposhiriki Tendo La Ndoa