Fahamu Sababu Zinazomfanya Mwanamke Kutokwa Na Majimaji Ukeni

Ikumbukwe kwamba, kutokwa na majimaji au uteute katika via vya uzazi vya mwanamke ni jambo la kawaida wakati ambao mwanamke bado ana umri wa kuzaa, ikiwa ni sehemu ya mwili kuondoa uchafu na sumu.

Ute huu kwa kawaida hauna rangi hadi ukikauka juu ya nguo ya ndani ndiyo huashiria rangi nyeupe au njano. Hata hivyo, hali hii huwa kwa kiasi kidogo ambacho hakihitaji mwanamke kuvaa kitu kingine zaidi ya nguo ya ndani ya kawaida ili kuuzuia.



NUKUU: Lakini majimaji hayo huashiria ugonjwa wa hatari yanapokuwa yanaambatana na dalili zifuatazo:
  • Maji maji au ute kubadilika rangi na kuwa kama maziwa mtindi, chokleti, njano, kijani, rangi ya usaha na au rangi ya juisi ya parachichi.
  • Majimaji yakiambatana na harufu mbaya hata kama mwanamke ameoga na kuvaa vizuri. Kuna wakati harufu inakuwa kama shombo la samaki hasa wakati wa kushiriki tendo la ndoa na baada ya.
  • Ute unapozidi kiwango chake cha kawaida cha kila siku
  • Maumivu wakati wa kushiriki tendo la ndoa.
  • Maumivu wakati wa kujisaidia haja ndogo.
  • Kuwashwa sehemu za nje na ndani za via vya uzazi vya mwanamke.
  • Via vya uzazi kuwa na rangi nyekundu kuliko rangi yake
  • Muwasho sehemu za mlango wa via vya uzazi kwa ndani.
  • Maumivu chini ya kiuno, mbele na nyuma pia chini ya kitovu na hasa kushoto na kulia.
  • Sehemu ya nje ya via vya uzazi kuwa nyekundu na wakati mwingine wekundu huo kuambatana na michubuko, vidonda na maumivu. 

Je, Hali Hii Hsababishwa Na Nini?
 
Maambukizi au mashambulio katika njia ya uzazi ya mwanamke na si njia ya mkojo hutokana na mambo yafuatayo:

  1. Kufanya mapenzi yasiyo salama na mtu ambaye ana magonjwa ya zinaa, hivyo bacteria, virusi au fangasi hushambulia njia ya uzazi. Maambukizi haya yapo ya aina kuu tatu ambayo kitaalam ni Bacterial vaginosis, Trchomoniasis na Monilia.
  2. Kufanya mapenzi kinyume na maumbile na wakati huohuo kuhamia kwenye uke na kuhamisha uchafu na wadudu ambao hushambulia njia ya uzazi.
  3. Utokwaji wa uchafu ni tatizo linalowakumba wanawake wengi wa mijini kwa sababu ya ulaji mbovu. Chakula chenye mafuta kinachochea au kinaamsha seli za mafuta (fat cells) mwili mzima na hivyo husababisha kuzalishwa kwa homoni nyingi za estrogen. Homoni hizi zikiambatana na upungufu wa fiber huchochea ukuaji wa bakteria wa ndani ya utumbo ambao kitaalam wanaitwa clostridia.  Hawa wana sifa ya kubadilisha asidi ya nyongo(bile acid) kuwa homoni za estrogen ambazo zinapozidi sana husababisha tatizo la mwanamke kutokwa na uchafu katika via vyake vya uzazi.

  4. Uzazi wa mpango
  5. Ulaji mbovu.
  6. Njia za kisasa za uzazi wa mpango (hasa vidonge) bila kujali ushauri wa kitaalam na bila kujali usafi husababisha kuharibika kwa ukuta wa uke ambao ni ulinzi, hivyo huharibu afya ya uke kwani huufanya uwe na hali ya alkali ambayo huruhusu au huchochea bakteria na fangasi kuvamia na kuzaliana kirahisi. Hivyo fangusi, hasa candida albicans huzaliana sana na kushambulia uke.
  7. Uchafu wa mavazi na uchafu wa mwili hasa kwa mwanamke ambaye hajui jinsi ya kujisafisha katika via vyake vya uzazi ili kuondoa seli zilizokufa (dead cells)

Je, Suluhisho Lake Ni Nini?

James Herbal Clinic tunazo dawa nzuri kabisa zenye uwezo mkubwa wa kuondoa janga hili. Hivyo wasiliana nasi kwa namba hizi: 0768 559 670/0712 181 626,

Arusha-Mbauda,

Karibuni Sana!
 

Comments

Popular posts from this blog

Fahamu Mambo Yanayosababisha Uke Kulegea

Aina 9 Ya Vyakula Unavyopaswa Kuviepuka Unapokuwa Na Tatizo La Figo

Mambo 6 Yanayopelekea Mwanamke Kuhisi Maumivu Makali Anaposhiriki Tendo La Ndoa