Fahamu Dalili Za Uvimbe Wa Fibroid Na Madhara Yake












Je, Nini Husababisha Fibroid Mayoma?
 
Vyanzo vyake kwa kawaida huwa ni vingi kidogo, navyo huwa  kama hivi ifuatavyo hapa;
  • Mwanamke kufikisha umri wa miaka 28-33 bila kupata ujauzito
  • Ugumba wa muda mrefu
  • Matumizi ya pedi zisizokuwa na uthibitisho wa madaktari.
  • Kutoa mimba
  • Mapungufu ya lishe mwilini, nk,
  • Kutoshiriki tendo la ndoa muda mrefu(yaani dada ama mama anapofikia umri wa miaka 25-30 bila kushiriki tendo la ndoa)
Je, Dalili Zake Zinakuwaje?
 
Uvimbe katika kizazi cha mwanamke ukiwa mdogo unaweza usiwe na dalili zozote,  na dalili hutegemea sehemu ulipo kwenye mfuko wa uzazi na pia ukubwa wake. Hata hivyo dalili za ugonjwa huu huwa kama ifuatavyo:
  • Kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi
  • Kupata hedhi mara mbili kwa mwezi.
  • Maumivu makali wakati wa hedhi.
  • Maumivu ya tumbo chini ya kitovu,
  • Hedhi zisizokuwa na mpangilio
  • Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
  • Kutotunga mimba au kuharibika kwa mimba
  • Kukosa choo ama tumbo kujaa gesi na kumfanya muhusika kuwa anajamba jamba mara kwa mara.
  • Maumivu makali wakati wa hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma uvimbe huo.
  • Kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya ama usiokuwa na harufu lakini mwingi.
Je, Uvimbe Huu Unapozidi Kuwa Mkubwa Husababisha Dalili Gani?
 
Kwa kawaida uvimbe huu unapokuwa mkubwa husababisha dalili kama hizi zifuatazo;
  • Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe hukandamiza kibofu cha mkojo.
  • Mkojo kubaki kwenye kibofu cha mkojo.
  • Choo kuwa kigumu ama kukosa choo.
  • Kupungukiwa na damu kwasababu fibroid hunyonya damu
Je, Nini Madhara Ya Uvimbe Wa Fibroid?
 
Uvimbe wa fibroid usipotibiwa huendelea kukua na kuwa mkubwa, na hivyo baadaye husababisha madhara makubwa kwa muhusika nayo huwa kama hivi ifuatavyo;
  • Hukandamiza mirija ya kupitishia mayai kutoka katika kiwanda cha mayai yanakozarishwa yaani ovary.
  • Uvimbe aina ya Submucosal huzuia yai lililorutubishwa lisijishikishe kwenye kizazi
  • Kushindwa kupata choo au kutoa kinyesi kigumu
  • Ugumba
  • Mwisho kabisa, huzuia mfuko wa kizazi kusukuma mbegu za mwanaume kwenda kwenye mirija ya mayai.
Je, Suluhisho Lake Ni Nini?

James Herbal Clinic tuna tiba nzuri zenye uwezo mkubwa wa kuondoa matatizo ya vivimbe katika mfumo wa uzazi. Je, unahitaji huduma? Basi wasiliana nasi kwa namba hizi: 0768 559 670/0712 181 626, 
Arusha-Mbauda,
Karibu sana!


 


Comments

Popular posts from this blog

Fahamu Mambo Yanayosababisha Uke Kulegea

Aina 9 Ya Vyakula Unavyopaswa Kuviepuka Unapokuwa Na Tatizo La Figo

Mambo 6 Yanayopelekea Mwanamke Kuhisi Maumivu Makali Anaposhiriki Tendo La Ndoa