Kuondoa Sumu Mwilini: Kwanini Ni Jambo La Muhimu Sana?

Ulimwengu wa siku hizi, sumu imekuwa jambo la kutia wasiwasi sana kutokana na ukweli kwamba mtindo wa maisha wa leo unasababisha sumu kujilimbikiza katika miili yetu. 

Sababu kuu zinazosababisha mkusanyiko huu wa sumu ni mchafuko wa hewa na maji, kemikali kali zaidi, mionzi na nguvu za nyuklia. Vilivyoongezwa tena katika jambo hili ni kemikali mpya, madawa,  ambayo watu wanameza, matumizi ya sukari, vyakula vilivyokobolewa au kusindikwa, nyama na samaki na vichocheo vya madawa wanayotumia wanyama.

:Sumu ni tatizo kubwa sana leo na inaweza kusababisha magonjwa. Kansa, magonjwa mengine ya moyo na mishipa yamekuwa yakisababishwa na mkusanyiko wa sumu mwilini.

Magonjwa mengine, mizio, unene au kitambi, matatizo ya ngozi, baridi yabisi au gauti (arthritis) na mengine yanayohusiana na afya.Pia mrundikano wa sumu hupelekea mara kwa mara maumivu ya kichwa, uchovu wa mwili, matatizo ya tumbo, maumivu ya mwili, kikohozi na matatizo mengine yanayohusiana na mfumo wa kinga wa mwili.

Kuondoa sumu mwilini au kusafishwa kwa mwili kunaweza kusaidia kupunguza makali haya na magonjwa ya muda mrefu.

Mchakato huu unahusisha kuepukana na kemikali zenye madhara na sumu zinazokuwa mwilini. Njia ya kuondoa sumu inaweza kuwa ya muda mfupi au mrefu.

:Programu inawasaidia hasa wale ambao wameathiriwa na madawa ya kulevya. Mwanzoni hutumia pesa nyingi kununua madawa ya kulevya na baadaye kuharibu tabia na mienendo yao.

Sumu ina muundo wa viwango viwili. Inaweza kuwa ya nje au ya ndani.

Sumu ya nje husababishwa na kuvuta hewa ya mazingira kwa kupumua, au kugusana. Kemikali ya nje ni pamoja na vyakula tunavyotumia.

:Madawa mengi, viungo vya vyakula hujenga mkusanyiko wa sumu mwilini mwako. Kuna kiasi fulani cha sumu inayowakilisha virutubishi, sodiamu na maji.Tofauti ni kwamba, sumu zinazozarishwa ndani ya mwili ni sumu za ndani na husababishwa na kazi za kawaida za kila siku.

:Shughuli za mwili, kibayolojia na za seli huzalisha vitu hivyo, kwahiyo vinatakiwa kuondolewa.

Hii mionzi, pia huitwa sumu ya biokemikali, husababisha matatizo kama kuwashwa au kuvimba kwa seli na tishu, ambazo zinaweza kusababisha matatizo utendaji wa kawaida wa viungo vya seli.

:Idadi ya bakteria wa kigeni, vimelea, bakteria tumboni, fangasi sehemu za siri, na vijidudu vidogo huzalisha vitu visivyohitajika na matatizo mwilini. Mawazo, mfadhaiko au msongo wa mawazo na hisia pia husababisha uundaji wa sumu ya kemikali ya kibayolojia.

Kinywaji Kikuu Cha Kusafisha Mwili Wako

1. Maji safi

2. Juisi ya limao

3. Unga wa pilipili

4. Maple syrup

Changanya kwenye chombo kisafi. Kunywa unapohisi njaa. Fanya kwa siku 2-3. Unaweza kunywa maji mengi pamoja na kinywaji cha kusafisha. Itakusafisha kuanzia kichwani hadi kwenye vidole vya miguuni.

Juisi ya limao na pilipili zote huongeza kinga; vitamini C ya ziada itokanayo na juisi ya limao husaidia mfumo wako wa kinga kukabiliana na msongo wa mawazo.

  • Pilipili huleta joto na husaidia mwili wako kutoa uchafu
  • Ndimu au limao zinaweza kusaidia kutuliza tumbo
  • Unapokunwa maji mengi hukusaidia kupambana na njaa na tamaa ya sukari.
  • Unga wa Pilipili huboresha mzunguko wa damu hivyo seli zako hupata virutubisho zaidi
  • Limau ina wingi wa viua sumu (antioxidants) ambayo huifanya ngozi yako kuwa yenye afya
  • Maji ya limao yanaweza kusaidia kupambana na matatizo ya fizi na kuufanya mfumo wa hewa kuwa mzuri.

  • Kama unataka kuachana na matumizi ya kahawa asubuhi, basi kikombe cha maji ya moto ya limao kinaweza kukusaidia kabisa.
  • Limao zina flavanoids zinazoitwa flavonol glycosides ambazo zimeonekana kuwa na athari ya antibiotic
  • Limao zimeonekana kutuliza mwili…

Hii hapa ni njia nyingine ambayo unaweza kufanya pia. Fanya mambo haya yafuatayo:

Viungo

1. Glasi ya maji au kikombe cha maji ya moto

2. Nusu limao

3. Kipande kidogo cha pilipili

4. Vipande vidogo tu vya tangawizi

5. Asali kijiko 1 cha chakula

Jinsi Ya Kuandaa

Kamua nusu kipande cha limau na uongeze kipande cha pilipili ya cayenne kwenye maji yako na koroga. Ongeza tangawizi na asali ikiwa unataka.

Unaweza kuongeza kijiko 1 cha asali ili kuongeza ladha ya utamu. Unaweza kutengeneza chupa kubwa ya dawa hii na ukaitumia kuanzia asubuhi mpaka jioni siku nzima.

Ni kamili kwa ajili ya kukomesha matamanio ya vitu vyenye sukari mchana....

Nipende kuishia hapa, nikaribishe kipindi cha maswali na maoni yako, karibuni sana. 

Je, unataka ushauri? Basi tupigie: 0768 559 670/0712 181 626,

Arusha-Mbauda,

Karibuni sana!


Comments

Popular posts from this blog

Fahamu Mambo Yanayosababisha Uke Kulegea

Aina 9 Ya Vyakula Unavyopaswa Kuviepuka Unapokuwa Na Tatizo La Figo

Mambo 6 Yanayopelekea Mwanamke Kuhisi Maumivu Makali Anaposhiriki Tendo La Ndoa