Fahamu Jinsi Ya Kuhesabu Mzunguko Wa Hedhi Na Kuepuka Ujauzito.

Taarifa hii ni muhimu sana kwa wanawake ambao hawataki kujizuia kushiriki tendo la ndoa na wenzi wao na hivyo kutumia vidonge vya majira, lakini wakati ule ule hawapendi kuwa wajawazito. Bila shaka kila mwanamke amewahi kusikia kuwa kuna siku salama kabisa baada ya kutoka hedhini wakati ambao bahati ya kuwa mjamzito huwa  haipo kabisa lakini watu wengi hawajui kuhesabu siku hizo za hatari na siku salama.

Je, Siku Za Hatari Zinakuwaje?

Ili kuyafahamu maswala ya ujauzito vizuri, hebu kwanza tujifunze mambo machache kuhusu fisolojia ya wanawake. Kila mpevuko wa mwanamke mwenye afya kamili huonekana kila mwezi. Katika siku hizi, yai huwa liko tayari kwa ajili ya urutubishaji mpya, hivyo hatari ya kuwa mjamzito katika siku hizo huwa ni kubwa mno. Upevushaji, kama ilivyo kanuni, hutokea katikati ya mzunguko wa hedhi, hukaa kwa siku kadha wakadha. Inaonekana kwamba kila kitu ni rahisi, na kwamba baada ya kuhesabu siku za hatari, unaweza kuepukana na siku hizo na kuweza kushiriki tendo la ndoa katika siku zingine pasipo kufikiri juu ya hatari ya kupata ujauzito. 

NUKUU: Lakini kama unavyojua, tofauti zipo katika njia nyingi. Kwa namna hiyo basi, uwezo wa kupata ujauzito usiohitajika unaweza usiwe mkubwa sana, lakini bado unaweza ukawepo.

Jinsi Gani Unaweza Kuhesabu Kipindi Cha Yai Kupevuka?

Kwa wale wanaopanga kutokutumia njia zingine za kuzuia ujauzito, na kupenda kutumia njia ya kalenda tu, ni muhimu sana kutambua kuwa mwanamke anaweza kuwa mjamzito siku yoyote. Hata hivyo, kuna baadhi ya siku wakati uwezo wa kupata ujauzito ni mdogo sana, lakini haiwezekani kuzizingatia siku hizo kuwa ni salama kabisa. Siku zilizo salama ni siku 2 kabla ya kipindi cha hedhi kuanza na siku 2 baada ya damu ya hedhi kukoma. Katika kuhesabu kipindi cha upevushaji wa yai na kuhesabu siku ambazo huwezi kuwa mjamzito, kwanza kabisa, unahitaji kufahamu urefu wa mzunguko wako wa hedhi.

NUKUU: Wakati unapotumia njia ya kuhesabu, basi mzunguko wako wa hedhi unapaswa uwe imara la sivyo unaweza kuwa katika hatari ya kupata ujauzito. Kwa msemo mwingine, kama una mzunguko usio kuwa imara, hivyo huwezi kuhesabu siku na kutambua siku za hatari ni zipi na hivyo unaweza kuwa mjamzito. Unapaswa pia kukumbuka kwamba, mzunguko unaweza kubadirika kwa urahisi kwasababu vipindi vya hedhi vinaweza kuathiriwa  na mambo mbalimbali kama vile msongo wa mawazo, madawa, magonjwa ya mfumo wa uzazi, nk.

Je, Unawezaje Kuhesabu Siku Salama Kwa Kutumia Kihesabio Cha Vipindi?  

Ili kuhesabu siku zako salama, unapaswa kuchanganua mzunguko ndani ya mwaka mzima, ili mradi tu hujawahi kutumia madawa ya mpango wa uzazi katika kipindi hicho. Kama mzunguko haukubadirika, basi hupaswi kutegemea sana njia ya kalenda katika kujilinda na ujauzito usiotarajiwa, kwakuwa hakuna uhakika! Kama hedhi inakuja mara kwa mara, bila kuzingatia upotovu mdogo, basi unaweza kuanza kuhesabu siku ni lini unaweza usipate ujauzito.

Kwanza kabisa bainisha muda wa mzunguko wa hedhi wa kipindi kifupi kabisa na kirefu kabisa katika kipindi kilichochanganuliwa. Baadaye, toa 18 kwenye idadi ya siku za mzunguko mfupi zilizobaki; matokeo yatakupa siku inayoanza kutokana na uwezo wa kuwa mjamzito kwamba ni mkubwa sana.  Halafu toa 11 kwenye idadi ya siku zilizobakia kwenye mzunguko mrefu; matokeo yatajionyesha siku ya mwisho unapohitaji kujilinda mwenyewe ili kuzuia ujauzito usiotarajiwa. Kiwango cha siku za hatari katika kipindi mara nyingi huwa ni siku 12.

Jinsi Gani Unaweza Kuhesabu Mzunguko Wa Hedhi Ili Kuzuia Ujauzito Kabla Ya Hedhi?

Kwanza kabisa bainisha muda wa mzunguko wa hedhi wa kipindi kifupi kabisa na kirefu kabisa katika kipindi kilichochanganuliwa. Baadaye, toa 18 kwenye idadi ya siku za mzunguko mfupi zilizobaki; matokeo yatakupa siku inayoanza kutokana na uwezo wa kuwa mjamzito kwamba ni mkubwa sana.  Halafu toa 11 kwenye idadi ya siku zilizobakia kwenye mzunguko mrefu; matokeo yatajionyesha siku ya mwisho unapohitaji kujilinda mwenyewe ili kuzuia ujauzito usiotarajiwa. Kiwango cha siku za hatari katika kipindi mara nyingi huwa ni siku 12.

Inaweza kuonekana kwamba ujauzito hauwezi kutokea kabla ya hedhi kwasababu katika kipindi hicho, hali zote zinzohitajika kwa ajili ya upachikaji wa yai huwa zinatatanisha kabisa. Lakini kama binti au mwanamke hana mpenzi mmoja na uhusiano wake ni wa kubadirika, basi uwezekano wa kupata ujauzito huongezeka wakati wa kila tendo la ndoa kwasababu mwili wake unaweza kuguswa na uwezekano usiotarajiwa wa kuwa mjamzito, na kuunda hali ya upevushaji wa yai isiyotarajiwa.

Hii pia hutokea pale wapenzi au wanandoa wanapotumia kinga ili kujilinda. Kwa namna hiyo basi, vitu vinavyokuwa kwenye shahawa za mwenza zinaweza kuchochea hali ya upevushaji wa yai. Kuondoa nafasi ya ujauzito huwa ni rahisi sana ikiwa kama mahusiano sio ya kubadirika na yanafanyika kwa mpenzi mmoja bila kuwa na michepuko.

Je, Ujauzito Wakati Wa Hedhi Unawezekana?

Uwezekano wa kupata ujauzito wakati wa hedhi ni mdogo sana. Utokaji wa damu sio mazingira mazuri kwa ujauzito, hii ni kutokana na kutokwa damu nyingi. Unaweza ukapata ujauzito ikiwa kama kipindi cha hedhi ni kirefu sana au kuna mabadiriko kwenye mzunguko kutokana na magonjwa. 

NUKUU:  Je, kuna uwezekano wowote wa kuwa mjamzito haraka baada ya kipindi cha hedhi kuisha? Kuna maoni kwamba kuwa mjamzito wakati wa kipindi hiki haiwezekani, lakini madaktari wanakubari kwamba inawezekana kabisa.

Inafaa kutaja kwamba mbegu za mwanaume huishi kwenye njia ya uzazi kwa muda wa siku 3 baada ya kushiriki tendo la ndoa, na wakati mwingine zinaweza zikakaa kwa muda mrefu. Kwa kutumia njia ya kalenda ile ile, unaweza kuhesabu hivyo kwa urahisi kwa kushiriki tendo la ndoa mara tu baada ya kutoka hedhini, unaweza ukapata ujauzito kwakuwa mbegu zinaweza kusubiri mpaka yai litakapokuwa tayari kwa ajili ya kurutubishwa.

NUKUU: Kwa kifupi naweza kusema kwamba, kila mwanamke anapaswa kukumbuka kwamba njia ya kalenda inaweza kuhakiki usalama katika hali zingine, kwahiyo hupaswi kutegemea njia hii, kwakuwa haikupi uhakika kamili kwamba ujauizito hauwezi kutokea.  

Rafiki msomaji, naomba niishie hapa ili nikaribishe kipindi cha maswali na maoni yako.

Unahitaji huduma, basi tupigie: 0768 559 670/0712 181 626,

Arusha-Mbauda,

Karibu Sana!

Comments

Popular posts from this blog

Aina 9 Ya Vyakula Unavyopaswa Kuviepuka Unapokuwa Na Tatizo La Figo

Fahamu Mambo Yanayosababisha Uke Kulegea

Mambo 6 Yanayopelekea Mwanamke Kuhisi Maumivu Makali Anaposhiriki Tendo La Ndoa