Fahamu Mambo Yanayopelekea Manii Au Shahawa Kuchanganyikana Na Damu

Manii huwa zina mbegu na majimaji yanayotoka kwenye tezi mbalimbali. Majimaji haya, pia huungana na mbegu pale yanapopita kwenye mirija kuelekea kwenye mrija wa mkojo wakati mwanaume anapoelekea kupiga mshindo au kufika kileleni.

NUKUU: Idadi ya vitu mbalimbali vinaweza kupasua mishipa ya damu katika msafara huu au wakati mkojo unapotoka. Mishipa iliyopasuka baadaye huvujisha damu kwenye manii, au mkojo.

Kuona damu kwenye manii kunaweza kumfanya mtu kuwa na wasiwasi. Kwa bahati nzuri, mara nyingi huwa haionyeshi matatizo ya kiafya. Wanaume wenye umri chini ya  miaka 40 wasipoona dalili au ishara wala hakuna vihatarishi katika afya, basi damu kwenye manii mara nyingi hutoweka yenyewe.

Lakini wanaume wenye umri wa miaka zaidi ya 40, nafasi huwa ni kubwa kiasi kwamba damu kwenye manii huhitaji vipimo na matibabu. Hali hii hasa huwa ni ya kweli kwa wanaume ambao:

  1. Wamerudia matukio ya damu kwenye manii
  2. Wameonyesha dalili wakati wa kukojoa au kufika kileleni
  3. Wana hatari ya salatani, matatizo ya kutokwa na damu, nk

NUKUU: Damu kwenye manii kitaalamu huitwa, “hematospermia” au “hemospermia”. Wakati wanaume wanapofika kileleni, kwakweli huwa hawachunguzi manii zao ili kuona damu. Kwa hiyo huwa haitambuliki jinsi matatizo yao yanavyokuwa.

Je, Nini Husababisha Damu Kwenye Shahawa?

Maambukizi na uvimbe ndio huwa kisababishi kikubwa cha damu kwenye manii. Damu inaweza kutokana na maambukizi au uvimbe, katika tezi yoyote, au mirija yoyote, au mirija ambayo huzarisha au hutoa na kusafirisha manii kutoka kwenye mwili.

  • Tezi kibofu(tezi ambayo huzarisha majimaji sehemu za manii)
  • Urethra(mrija ambao hubeba mkojo na manii kutoka kwenye uume)
  • Kupiga punyeto
  • Epididymis(mirija myembamba ambapo mbegu hukomaa kabla hazitoka nje)
  • Seminal vesicles( mirija midogo kabisa ambayo huongeza majimaji kwenye manii).

NUKUU: Hali hii pia hutokana na maambukizi ya magonjwa ya zinaa kama vile, kisonono au pangusa, au kutokana na maambukizi mengine ya bakteria. Maambukizi na uvimbe ndio visababishi vya damu kwenye manii.

Lakini magonjwa mengine kama vile shinikizo la juu la damu, HIV, ugonjwa wa ini, pia yanaweza kusababisha damu kwenye shahawa.

Je, Dalili Zake Zinakuwaje?

Unapofika hospitali na kuonana na daktari ili kufanya uchunguzi wa kina juu ya chanzo cha tatizo hili, daktari atakuuliza juu ya dalili zozote ambazo ni;

  • Damu kwenye mkojo(hematuria)
  • Maumivu baada ya kumaliza kukojoa
  • Kushindwa kutoa kabisa mkojo kwenye kibofu
  • Kibofu cha mkojo kuuma
  • Kuhisi maumivu baada ya kufika kileleni
  • Viungo vya uzazi kuvimba au kuuma
  • Uume kutoa uchafu kama vile usaha, nk
  • Kuhisi homa, au shinikizo la juu la damu

 Je, Suluhisho Lake Ni Nini?

James Herbal Clinic tuna dawa zinazoondoa tatizo la kutoa shahawa zilizochanganyikana na damu. Unaweza kutuma namba zako za WHATSAP tukakuunganisha na darasa letu ili uweze kupata masomo kila siku.

Je, Unahitaji Huduma? Basi, wasiliana nasi kwa namba hizi: 0768 559 670/0712 181 626,

Arusha-Mbauda,

Karibu sana!


nazo ni: VITAMAKA, MOTHER MEDICINE na CARD HERB. Dawa hizi zote ni antioxidants, na ni Anti-inflammatories.

 

Comments

Popular posts from this blog

Aina 9 Ya Vyakula Unavyopaswa Kuviepuka Unapokuwa Na Tatizo La Figo

Fahamu Mambo Yanayosababisha Uke Kulegea

Mambo 6 Yanayopelekea Mwanamke Kuhisi Maumivu Makali Anaposhiriki Tendo La Ndoa