Haya Ndio Madhara Ya Vipandikizi Au Vijiti (Norplants) Pale Unaposhindwa Kufuata Ushauri Wa Daktari!

Mashirika yanayoendeleza njia za kisasa za kupanga uzazi yanasifia vipandikizi (norplant) kama ni njia nzuri na salama kwa wanawake wanaotumia. Mashirika hayo yanadai kuwa njia hii ni rahisi kwani inaondoa ile adha ya kumeza vidonge kila siku, zoezi ambalo baadhi ya watumiaji husahau. Sifa kubwa ni kuwa ina uwezo mkubwa wa kuwafanya tasa au wagumba mamilioni ya wanawake katika nchi zinazoendelea.

Je, Vipandikizi Ni Nini?

Hivi ni vichochezi(hormones) viitwavyo ‘‘levonorgestrel’’ vinayowekwa katika vifuko 6. Baada ya kuwekwa, vichochezi hivi huanza kufanya kazi masaa 24 hadi miaka 5. Kila kifuko huwekewa miligram 36 za vichochezi aina ya ‘’crystalline levonorgestrel’’ na kila kifuko kina urefu wa milimita 34 na upana wa milimita 2.4, na ujazo wa microgram 30 za progestin husambazwa katika damu kila siku.

 
NUKUU: Aina nyingine ya Vipandikizi ni ile iitwayo Norplant II yenye vifuko 2 na Implanon yenye kifuko kimoja.

Vipindakizi hivi vinapowekwa mwilini, hudumu kuanzia miaka 2 hadi  3. Vipandizi hivi hufanya kazi sawa sawa na vidonge vya majira, ila vina uwezo mkubwa wa kuua mimba changa kutokana na kuharibu ngozi nyororo ya mji wa mimba.

Je, Nini Kazi Za Vipandikizi Mwilini?

Vipandikizi hivi vinapokuwa ndani ya mwili hufanya kazi zifuatazo :

  • Huzuia yai kukomaa na kuchopoka kutoka katika kifuko cha yai.
  • Huzuia utengenezaji na ukuaji wa ngozi nyororo ya tumbo la uzazi.
  • Hugandisha ute wa mlango wa tumbo la kizazi

NUKUU: Vipandikizi hivi huwekwa kwenye mkono wa mwanamke baada ya kufanyiwa operesheni ndogo katika ngozi yake sehemu ya chini ya kiwiko cha juu cha mkono. Vipandikizi hutengenezwa na kampuni ya WYETH AYERST ya Marekani chini ya usimamizi wa Halmashauri ya idadi ya watu na kugharamiwa na Shirika la Misaada la Marekani (USAID).

Je, Nini Madhara Ya Kawaida Ya Vipandikizi?.

a) Madhara ya kawaida huwa kama ifuatavyo:

  • Mabadiliko katika mzunguko wa hedhi
  • Kutokwa damu kidogo sana au hakuna damu kabisa
  • Kuongezeka uzito kati ya kilo  2-5 kwa mwaka
  • Kunyonyoka nywele katika paji la uso.
  • Maumivu ya miguu
  • Mabadiliko ya tabia (huzuni au wasiwasi mkubwa)

b) Madhara Makubwa Yanayohitaji Matibabu Ya Haraka

  • Kutoka damu nyingi
  • Kukosa hedhi kwa muda mrefu
  • Kutotoka damu kabisa
  • Maumivu makali kwenye kinena
  • Kuumwa kipanda uso au maumivu makali ya kichwa
  • Kuathirika kwa sehemu iliyowekwa vipandikizi (Kuwa pekundu , kuvimba au kutoka damu)

c). Wanawake wengine waliotumia vipandikizi hupatwa na matatizo yafuatayo;

  • Macho kuona mianga mianga, au kuona kidogo au kutoona kabisa.
  • Mabaka mabaka mwilini
  • Kukosa hamu ya tendo la ndoa
  • Matatizo ya moyo
  • Kichefuchefu
  • Mkandamizo wa damu
  • Uchovu
  • Kupungua uzito
  • Kizunguzungu

Je, Nini Suluhisho Lake?

James Herbal Clinic tunapenda kushauri  wote wanaosumbuliwa na matatizo niliyoyataja hapo juu, ikiwa kama umewahi kutumia vipandikizi na unasumbuliwa na matatizo hayo, basi unaweza kuwasilina nasi au ukafika kwenye kituo chetu na ukapata huduma. 

Pia unaweza kutuma namba yako ya WHATSAP ukaunganishwa kwenye darasa letu ili upate masomo ya afya kila siku.

Je, Unahitaji Huduma? Basi wasiliana nasi kwa namba hizi: 0768 559 670/0712 181 626,

Mbauda-Arusha,

Karibu sana!

Comments

Popular posts from this blog

Aina 9 Ya Vyakula Unavyopaswa Kuviepuka Unapokuwa Na Tatizo La Figo

Fahamu Mambo Yanayosababisha Uke Kulegea

Mambo 6 Yanayopelekea Mwanamke Kuhisi Maumivu Makali Anaposhiriki Tendo La Ndoa