Posts

Showing posts from July, 2024

Fahamu Sababu Zinazopelekea Wanawake Wengi Kushindwa Kupata Mimba

Image
Hali ya ugumba inatafsiriwa kama vile mwanamke kutokushika ujauzito angalau mara moja kwa mwaka  japokuwa anafanya tendo la ndoa kila mara lakini bila mafanikio. NUKUU: Visababishi vya ugumba wa mwanamke vinaweza kuwa vigumu sana kuvipima na kuvitambua. Zipo tiba nyingi sana ambazo zinategemeana na chanzo cha ugumba. Wanandoa wengi wenye matatizo ya ugumba wanaweza wakafanikiwa kupata ujauzito hata bila kutumia tiba. Je, Dalili Zake Zinakuwaje? Dalili kuu za tatizo la ugumba kwa mwanamke ni kutokuwa na uwezo wa kupata ujauzito.  Mzunguko wa hedhi ambao huwa mrefu(yaani siku 35 na zaidi), au mfupi(yaani chini ya siku 21), au mzunguko wa kubadirika badirika au kutokuona hedhi kabisa inaweza kumaanisha kwamba huna uwezo wa kupevusha mayai. Kunaweza kusiwepo na dalili zozote za nje. Je, Nini Husababisha Hali Ya Ugumba Kwa Mwanamke? Kwanza kabisa ni urutubishaji  na upandikizaji wa yai kwenye ukuta wa mfuko wa uzazi. Mambo hayo ni ya muhimu sana ili kumfanya mwanamke kuwa mjam...

Fahamu Faida Za Unga Lishe Bora Wa NUTRI-REDEEMER

Image
NUTRI-REDEEMER ni unga bora wa pekee uliotengenezwa kutokana na mchanganyiko wa vyakula vya nafaka, mbegumbegu na mbogamboga zenye virutubisho vingi vizuri tena vyenye afya bora mno. Moja ya mchanganyiko wa nafaka hizo ni ngano. Unga huu unatumiwa kwa ajili ya uji kwa mtu mzima na watoto pia na una faida nyingi sana kama hizi zifuatazo: kudhibiti uzito wa mwili, kuboresha mfumo wa homoni kwa mwanamke na mwanaume, kuboresha mbegu za mwanaume, kuondoa matatizo ya macho, kuzuia magonjwa ya moyo, kisukari na saratani,   kuboresha ubongo, ngozi, na mifupa, kuboresha uyeyushaji wa mafuta mwilini mwako, kuzuia mawe kwenye figo, kuzuia saratani ya matiti, kurekebisha mfumo wa uzazi wa mwanaume na wa mwanamke, nk. Unga huu pia huzuia mwili usipatwe na magonjwa ya saratani ya utumbo, hutuliza dalili za kukoma kwa hedhi na kuzuia mashambulio ya moyo. Kwa kutumia unga huu kama lishe mara kwa mara, basi unaweza kupata virutubisho vyote vilivyomo na kuzuia kutokea kwa magonjwa mbalimbali. Je,...

Aina 9 Ya Vyakula Unavyopaswa Kuviepuka Unapokuwa Na Tatizo La Figo

Image
  Figo ni viungo vidogo vinavyofanana na maharage ambavyo vina jukumu la kufanya baadhi ya kazi muhimu zaidi mwilini mwako. Kwa mfano, figo zinawajibika katika uzalishaji wa homoni muhimu; huondoa uchafu kwa njia ya mkojo, huchuja damu, na hutengeneza uwiano sawa wa majimaji na madini. Ugonjwa wa figo au uharibifu wake hupelekea figo kushindwa kufanya kazi yoyote kati ya hizi, ambazo inaweza kusababisha uharibifu ndani ya mwili wa mwanadamu. Kuna sababu mbalimbali za hatari zinazoongeza uwezekano wa kupata ugonjwa wa figo, kwa mfano shinikizo la juu la damu linapokuwa kubwa kupita kiasi(presha ya kupanda) pamoja na kisukari kisichodhibitiwa. Sababu zingine za kawaida za magonjwa ya figo ni pamoja na ugonjwa wa moyo, maambukizi ya VVU, ulevi na homa ya ini(hepatitis C). Mara tu figo zinapoharibiwa na kupoteza uwezo wake wa kufanya kazi, maji mengi, madini na vitu vibaya huanza kujikusanya na kulundikana kwenye mkondo wa damu.Walakini, unaweza kuzuia uharibifu zaidi na kuongeza uwe...

Mitindo Mibaya Ya Maisha Yaweza Kuwa Chanzo Cha Matatizo Kwenye Mfumo Wa Uzazi Wa Mwanamke

Image
Uchaguzi wa mitindo mibaya ya Maisha inaweza kuathiri uwezo wa mwanamke kupata ujauzito. Fikiria baadhi ya hatua rahisi ikiwa unatarajia kupata mimba. Kama unatarajia kupata ujauzito, unaweza kujiuliza kuhusu kizazi chako na jinsi gani unaweza kukiboresha. Kuna baadhi ya mambo yanayoweza kuwa nje ya uwezo wako, kama vile masuala ya matibabu yanayoathiri uwezo wa kubeba mimba. Lakini uchaguzi wako wa mtindo wa Maisha unaweza kuwa na athari kwenye uzazi wako pia. NUKUU: Hapa kuna kile unachohitaji kukifahamu ili kulinda na kuimalisha kizazi chako. Hebu fuatilia Makala hii vizuri. Je, Kizazi Cha Mwanamke Ni Nini? Kizazi cha mwanamke ni uwezo wa mwanamke kubeba mimba na kupata mtoto. Wewe Pamoja na mwenzi wako lazima mjiulize kuhusu kizazi chenu ikiwa kama mumejaribu mara kwa mara kupata mimba, bila kutumia kinga wakati mnapofanya tendo la ndoa angalau kwa mwaka mmoja au miezi sita hivi endapo kama una umri Zaidi ya miaka 35, lakini bila mafanikio. Je, Nini Husababisha Matatizo Ya Uzazi Kw...

Fahamu Mambo Yanayomfanya Mwanamke Kutokwa Na Damu Ukeni Baada Ya Kushiriki Tendo La Ndoa

Image
Umeshamaliza kushiriki tendo la ndoa na mpenzi wako, unapomaliza, ukitazama chini utaona damu kwenye shuka. Huna hedhi na wala hutakiwi kutokwa na damu ya hedhi muda wowote, je unajua nini kinachokufanya kutokwa na damu muda huo? Wakati mwingine hali ya kutokwa na damu ukeni baada ya kujamiiana inaweza kuwa ya kutisha, lakini pia bado inaweza kuwa ya kawaida sana. Hali hii huathiri karibia asilimia 9% ya wanawake walio katika umri wa kupata hedhi. Ni hali ambayo pia hutokana na maambukizi. Kwa nadra sana huoneka kuwa ni ishara ya saratani. Je, Nini Visababishi Vyake? Visababishi vya kawaida vya damu kutoka ukeni baada ya kujamiiana huanzia kwenye shingo au mlango wa kizazi, ambayo ni sehemu nyembamba unapoishi mfuko wa kizazi(uterus) yenye muenekano kama mrija ambao hufunguka ndani ya uke. Moja wapo ya visababishi hivyo ni kuvimba kwa mlango wa kizazi(cervix) ambao kitaalamu tunaita “cervicitis” . Ni hali ambayo inaweza kuwa endelevu na isiyo na madhara kabisa, au inaweza kutokea kwasa...

Jinsi Ya Kuondoa Mawe Kwenye Figo Kwa Haraka Zaidi.

Image
  Ikiwa unatafuta jinsi ya kuondoa mawe kwenye figo kwa haraka, basi kwa kawaida, fuata makala hii kwa makini ili upata kile unachohitaji. Kabla ya kufanya hivyo, acha tuangalie jambo fulani kwa ufupi kuhusu figo. Mawe kwenye figo, kwa kawaida huwa na kalsiamu, na pia yanaweza kusababishwa na chumvi nyingi katika lishe au chakula ambayo huchochea uzarishaji au utengenezaji wa kalsiamu kwenye mkojo. Aina nyingine ya kuzarisha mawe kwenye figo ni asidi ya kwenye mkojo, vyakula vya viwandani ambavyo unanunua madukani na kuvitumia, ni kama matokeo ya lishe au vyakula vyenye wingi wa protini. Mawe ya figo huunda kitu kigumu ambacho hukua wakati kemikali na madini kwenye mkojo huwa magumu na kugeuka kuwa kama jiwe. Mara tu mtu anapopatwa na tatizo la mawe kwenye figo, anapaswa kuyaondoa haraka kabisa bila kuchelea. Tatizo la ugonjwa wa mawe kwenye figo unaweza kumfanyta mtui kuhangaika sana kupata tiba na kuwa na amani, lakini tiba asili kutoka James Herbal Clinic zitakusaidia kutatu...

Fahamu Mambo 5 Yanayosababisha Mirija Ya Uzazi Kuwa Na Magonjwa

Image
Mrija ya uzazi inaweza kupatwa na magonjwa mbalimbali na hivyo kupelekea kuvimba au kuziba. Leo nitapenda kuzungumzia juu ya kuvimba kwa mrija au mirija ya uzazi. Kuvimba kwa mrija wa uzazi kitaalamu tunaita “ salpingitis ”. Karibia matatizo yote katika mfumo wa uzazi husababishwa na maambukizi ya bakteria, hususani magonjwa ya zinaa kama vile kisonono na pangusa. Uvimbe husababisha kutengenezeka kwa majimaji au hata usaha na hivyo kukusanyika ndani ya mrija wa uzazi. Maambukizi kwenye mrija mmoja kwa kawaida hupelekea na mrija mwingine kupata maambukizi, kwakuwa bakteria huhama kupitia mishipa iliyokaribu na mrija mwingine. Kuvimba kwa mrija au mirija ni moja wapo wa visababishi vya ugumba wa mwanamke. Usipofanya matibabu haraka, ugonjwa unaweza kuharibu daima mrija wako wa uzazi kiasi kwamba mayai yanayoachiliwa kila mwezi katika mzunguko wa hedhi hayataweza kuzifikia mbegu za mwanaume. Majeraha na kuziba kwa mirija ya uzazi ni madhara ya moja kwa moja yatokanayo na maambukizi ya PID...